Tuesday, August 19, 2008

AGOSTI 19,2008 CHOO/VYOO

Kuna watu zaidi ya 2,600 000 000 hawana choo, kati ya watu 6,000 000 000 ulimwenguni theruthi hawana choo, na 2,6000 000 000 hawana choo safi au hawana kabisa. Mambo haya yamezungumzwa na Stockholm International Water Institute (SIWI) jumamosi 16/8-08.

Tatizo hili limezidi sana kusini mwa Afrika na Bara la Asia. Imefikia mpaka mavi yapo kila mahali kama barabarani na sehemu za kupumzikia. Hatari zaidi kwani sasa vijidudu(bacteria) wanaingia kwenye mabomba ya maji safi maji ya kunywa

1 comment:

Anonymous said...

kama kawaida na tafiti zenu. Yaani afrika kila kitu ovyo ovyo wala hamnipati siku hizi kwani zamani sikujua afrika ni nini na kwanini tafiti hizo zipo hivyo.Kazi mnayo,sawa mavi na choo ni ajenda kubwa kwa afrika na kweli mambo haya yapo na yanaonekana...lakini afrika ya kweli imeumbwa kma hivyo wanavyoichukulia watafiti na wanaojiita wataalamu wa mambo kadhaa?Je kila jambo lipo hivyo kama linavyowekewa tafiti hizo? mimi sijui lakini inashamirisha uhalisia kwamba wakiatakacho ndicho hufanyika lakini wasichokitaka ni uchafu.
jikomboe saa,uhuru daima