Monday, January 1, 2018

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE KHERI YA MWAKA MPYA 2018

KARIBU TUANZE MWAKA MPYA KWA  MTINDO HUU UGALI NA MAHAREGE, MBOGA MAJANI NA MLENDA.
TUMALIZIA NA KUSIKILIZA KIPANDE HIKI CHA MZIKI

KHERI SANA KWA MWAKA MPYA 2018...

5 comments:

Anonymous said...

Heri ya mwaka mpya kwako pia dada.

Prince Emac said...

Jaman nautaman huo mlenda

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina Ahsante sana Kheri nawe pia
Na Prince! karibu tule huu mlenda:-)

Manka said...

Heri ya mwaka mpya Dada Yasinta

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Manka kheri nawe!