Friday, January 5, 2018

NACHUKUA NAFASI HII KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUNIONGEZEA MWAKA MWINGINE TENA

Namshukuru Mwenyezi Mungu,  kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu....kuna wengine walizaliwa siku kama hii lakini hawapo duniani kusherekea siku yao.
Hongera  kwa mimi na wengine wote waliozaliwa siku kama hii......uzee nao ndo huuoo unanivizia KARIBUNI KUSHEREHEKEA NAMI:-)

3 comments:

Manka said...

Heri ya kuzaliwa Dada Yasinta..Mwenyenzi akubariki sana ����

Yasinta Ngonyani said...

Manka, AHSANTE SANA KWA KUWA NAMI KATIKA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWANGU

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Happy Birth Day tu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.