Friday, January 26, 2018

KARINUNI TUJUMUIKE MCHANA HUU NDUGU ZANGU!

Ugali, samaki sato na mchicha bila kusahau pilipili...karibuni mchana huu tujumuike. Ijumaa njema

2 comments:

Prince Emac said...

Daaah naikubali saana

Yasinta Ngonyani said...

Prince ndugu yangu yaani hapa patamu sana sana...pia napakubali haswaa