Sunday, April 16, 2017

AMEFUFUKA MWOKOZO YESUKHERI YA PASAKA  NDUGU ZANGU WOTE  TUNAOFURAHIA UFUFUKO WAKE MFALME WETU WA AMANI. BARAKA NA FURAHA VITAWALE NDANI YA MIOYO YETU PIA NYUMBA ZETU. PASAKA NJEMA.

2 comments:

Anonymous said...

Happy easter mdogo wangu Yasinta. Amefufuka Yesu kweli kweli, wote tuseme Ameeeen.

Yasinta Ngonyani said...

Amefufuka bwana amefufuka...haleluya... pasaka njema sana