Saturday, April 29, 2017

NI JUMAMOSI YA MWISHO YA MWEZI HUU WA NNE :- TUMALIZA KIHIVI....

Nawatakieni jumamosi hii ya ya mwisho wa mwezi huu wa nne iwe njema sana pia ya furaha na amani. PANAPO MAJALIWA .....

4 comments:

Beatrice said...

Waoo

Yasinta Ngonyani said...

Mdogo wangu..ahsante

Anonymous said...

Ulanzi na mdojolela!!! Haya, we turingishie tu!

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu usiye na jina...karibu nawe tujumuike