Sunday, April 30, 2017

NAWATAKIENI JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA NNE.

Neno la leo; Mathayo 6.
1 Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye Mbinguni.
JUMAPILI NJEMA!

3 comments:

Rachel Siwa said...

Asante sana Kadala wa mimi..
natumaini jumapili kwako na nafimilia ilikuwa njema..
Mungu awabariki.

Yasinta Ngonyani said...

EEhhh Kachiki wa mimi nilikumissije:-) Jumapili yangu ilikuwa njema sana Mungu mwema. Na natumaini nawe pia familia mlikuwa na furaha pia amani.

Rachel Siwa said...

Hata mimi nimekumissssss kadala wa mimi..ilikuwa njema wangu
asante sana.Karibuni kwetu.