Tuesday, April 18, 2017

NIMEJIFICHA HAPA TANGU JANA...LIKIZO KIDOGO

Hapa ni jana jioni ....mlo wa jioni ....
Na hapa ni leo asubuhi. Tukutane wakati mwingine...Chao.

2 comments:

Anonymous said...

Umejificha haswa mana hata kwenye picha uloweka sijakuona? Tuwekee basi tukuone na familia yako. Ni wapi hapo? Pazuri.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaa ndugu usiye na jina nimekupeni kitendawili kujua ni wapi hapo. ...haya jaribu