Wednesday, April 26, 2017

BAADA YA KUJIFICHA MUDA WA WIKI MOJA HAPA KISIWANI LANZAROTE/USPANIA SASA NIPO NANYI TENA...

Kapulya na mbwembwe zake kama kawaida kamera ilipomnasa
 Baada ya kujinyoosha hapo juu nilinaswa nikiwa nikiangalia mazingira ya hiki kisiwa cha Lanzarote huku Uispania

 Baada ya matembezi ya muda mrefu mtu huwa na njaa na hapa ni chakula kikuu cha Kispania kinaitwa PAELLA...ni chakula kitamu:-)
Sikuishia hapo nilikwenda kwa makumbusho maalufu yaliyopo katika kisiwa hiki cha Lanzarote kuangalia mimia hii ya Cactus....ila sasa nimerudi na nipo nanyi tena kama kawaida....Kapulya wenu

3 comments:

NN Mhango said...

Dada naona shavu hinhaa. Japo sipendi watu wanaojikondesha na kunyondanyonda,chunga hayo mafuta na mahanjumati unayokalangiza na kumeza.

Yasinta Ngonyani said...

Mmmh..kaka Mhango. .nimecheka hilo neno mahanjumati....usihofu nipo makini. ..ahsante kujali

ray njau said...

karibu