Thursday, March 23, 2017

MAISHA:- WATOTO WANAPOCHEZA NDIO HUJIFUNZA MAISHA

Sisi binadamu hujifunza mambo mengi katika michezo...lakini baadhi ya walezi/wazazi huona watoto wachezapo wanapoteza muda na huwakatisha na kutaka wafanye kazi nyingine... WAZAZI/WALEZI TUWAACHE WATOTO WAWE WATOTO......

4 comments:

Medson Chengula said...

Nimeipenda sana hii. Barikiwa

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Chengula...Ahsante sana kwa mchango wako. Nawe barikiwa pia.

NN Mhango said...

Michezo mingine muangalie msiwaharibu vichanga mapema. Laiti mngejua namna watoto wanavyofikiri, msingependa kuwaanzishia mambo ya kikubwa mapema. Ni mawazo yangu tu.

Yasinta Ngonyani said...

Upo sahihi kaka Mhango. ..watoto ni wepesi sana kujufunza kitu pia kuiga kwa hiyo umakini ni muhimu