Sunday, December 18, 2016

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA-VAZI LA LEO CHUI CHUI:-)

 Leo ni shati la chui chui na sketi nyeusi
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa juma hili linaloisha siku ya leo. Namwomba azidi kutupa afya wote ili tuweze kuifikia NOELI...JUMAPILI NJEMA KWA WOTE MTAKAOPITA HAPA:-) kapulya

4 comments:

ray njau said...

VIZURI SANA!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ahsante kupita hapa na kuacha lako la moyoni

Anonymous said...

Umependeza sana rafiki!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante rafiki wa mimi!