Wednesday, December 7, 2016

PICHA YA WIKI: VAZI LA KITENGE..SARESARE MAUA

Kwa kweli inapendeza kuona watu wengi wanaenzi vazi hili...ila binafsi ningependa hili gauni liwe ndefu kidogo:-)

2 comments:

NN Mhango said...

Dada huyo kama siyo wewe zama zile au dugu yako basi uzee unaanza kunipofua. Ila nguo ya mdada ni fupi kiasi fulani hasa tukizingatia kuwa nguo kama hiyo kinyumbani ukikutana na wazazi inaweza kuharibu siku yako. Sijui kama binti zangu wanaweza kuivaa hiyo wakijua niko maeneo.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango....Hahaaa yaaani nimeceka kweli ila si kwa kuhuzunika ila kwa furaha. Nakushauri uende kupima macho yako au kama una miwani basi Uwe unavaa usomapo au angalia picha :-) Haoana huyo mdada sio mimi...ulichosema ni kweli hilo gauni hata mie nimeliona ni fupi mno ila sisi wadada tupo tofauti...