Saturday, January 9, 2016

UJENZI HAPA MBINGA UNAENDELEA NA SI MUDA MREFU TUTAWEZA KUHAMIA...

Ukipita Mbinga basi  huna haja ya kulala hotel KARIBU SANA KWETU maana sisi  ni ndugu  na ndugu husaidiana


2 comments:

Salehe Msanda said...

Asante kwa taarifa na kutuarati kuwa tunatakiwa kuandaa mazingira mazuri tulikozaliwa
Kila la kheri

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salehe! Nashukuru kwa kuwa nami...Kila la kheri nawe pia