Monday, January 18, 2016

NI SIKU NA WIKI MPYA NA TUANZE NA MLO HUU...CHAGUO LAKO TU HAPA....

 Mahindi ya kupikwa/kuchemshwa na uji au....
.....ya kuchoma. Binafsi hupenfda sana mahindi ya kupika/kuchemshwa hasa yakiwa yamechemshwa na maboga. Haya tufurahie mlo huu pamoja....Kapulya wenu

2 comments:

Penina Simon said...

Ahsante Yasinta sijui nikayatafute wapi leo yaani nmeyatamani sana

Yasinta Ngonyani said...

Dada P! Mwenyewe hapa najiuma uma tu hata sina jinsi:-(