Friday, January 22, 2016

MWISHO WA JUMA HILI: BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA UJUMBE HUU....!!

"Katika maisha, haijalishi wapi unakwenda, ispokuwa na nani yupo nawe huko uendako"
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA  NA WOTE MNAPENDWA...KAPULYA WENU!!

2 comments:

NN Mhango said...

Nadhani haijalishi uko nani nani yupo nani bali nani yupo na Mungu. Ni mawazo yangu tu. Maana kwa nijuavyo binadamu ni dhaifu na hatuna msaada katika baadhi ya hali na matatizo.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Nakubaliana na tafsiri yako maana hata muwe wengi kiasi gani katika msafara lakini hapo wa kumtegemea ni Mungu.