Friday, September 11, 2015

TUMALIZE WIKI KWA USEMI HUU...

Kuna njia moja tu ya kuwa na furaha, nayo ni kuwaacha kuwa na wasiwasi juu ya jambo ambalo halipo juu ya uwezo wetu.
Panapo majaliwa tutaonana tena...wenu Kapulya

3 comments:

Anonymous said...

Ni kweli kabisa Dada Yasinta. Nimeipenda sana hiyo.

Yasinta Ngonyani said...

usiye na jana ahsante sana kwa kupita hapa na kuacha lako la moyoni!

NN Mhango said...

Nadhani ulitaka kumaanisha jambo ambalo liko juu ya uwezo wako. Vinginevyo ni nasaha nzuri tu.