Friday, September 18, 2015

KARIBUNI TUJUMUIKE CHAKULA CHA MCHANA HUU. .....

Ni wali, kebichi su wengine wanasema kabichi  na maharage tena ya kutoka Mbinga. Karibuni sana ndugu  zanguni. Na pia nichukue nafasi kuwatakieni mwisho mwema wa juma.

2 comments:

Anonymous said...

Haya kuwa na mlo mzuri na familia yako. Barikiwa dada.

Yasinta Ngonyani said...

Hakika hakuna mlo wa uhakika kama maharegwe...nawe karibu kwani kipo cha kutosha.