Tuesday, September 8, 2015

PICHA YA WIKI:- KUWA MAKINI UNAPOFUNGUA GARI YAKO !!

Hapa kazi ipo fikiria huyo nyoka yupo pia ndani ya gari, au kwenye kiatu na pia hata chooni, Ndugu zangu tuwe makini  tusikurupuke tu tuchunguze kwanza....Hata kitandani uendapo kulala chunguza kwanza......Niwatakie kila la khri na panapo majaliwa tutaonana tena...Kapulya:-(

2 comments:

Anonymous said...

Kwa wachina hiyo ni kitoweo kinono. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! umenichekesha kweli!