Tuesday, August 25, 2015

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HUU UWE UJUMBE WA LEO!!

KATIKA MAISHA NI BUSARA KUJITATULIA MATATIZO YAKO!
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA!

5 comments:

ray njau said...

tupo pamoja!

Fadhy Mtanga said...

Ahsante kwa ujumbe muruwa.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ni furaha kufahamu hili pamamoja daima.
Mtani wa mimi duh ni kipindi kweli karibu sana tena ...Ahsante kwa kuupenda ujumbe.

Fadhy Mtanga said...

Pamoja sana Mtani. Ni kweli ni kipindi kirefu sana pasi kutia mguu kijiweni hapa. Nimepata mengi sana.

Fadhy Mtanga said...

Pamoja sana Mtani. Ni kweli ni kipindi kirefu sana pasi kutia mguu kijiweni hapa. Nimepata mengi sana.