Monday, August 10, 2015

TUANZA JUMA HILI NA PICHA HII:- UTALII UNA CHANGAMOTO ZAKE .....

Sasa hapa kweli atapona huyu maana Mbuni ni myama/ndge ambaye anakimbia sana kuliko wanyama/ndege wote duniani...MMMhhhhh hapa kazi kwelikweli...Kapulya

3 comments:

Mbele said...

Kazi kweli. Hapo sasa ni akili mukichwa.

Yasinta Ngonyani said...

Prof. Mbele! Unafikiri mukichwa mwake muna akili ten? Angalia huyu mbuni mwenyewe alivyo mrefu kulika hata yeye .

Mbele said...

Huyu jamaa anapaswa kutumia zaidi akili kuliko misuli. Anavyokimbia hivi, anapaswa kugeuka ghafla, kama umeme, na kuelekea walikotoka. Chenga za namna hii zitamchosha mbuni.