Thursday, February 19, 2015

TASWIRA:- SEHEMU FULANI AFRIKA

Alhamis njema kwa wote...pabapo majaliwa tutaobana kesho ijumaa!!

7 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Huyo kobe anaitwa nani na anatoka wapi na ni saa ngapi wapi na lini?
Basi mpe hi five!

Yasinta Ngonyani said...

Duh kaka Mhango maswali mengi kama Kapulya...Naona tumwite tu kobe na yupo seheemu fulani ziwani ...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Je huyo kobe ni mngoni au mswidi? Je anapenda chakula gani na kwanini hakimbii? Je ulipompiga picha alijua? Ni mawazo tu.Nimemkumbuka mtakatifu Kitururu na maswali yake kama haya. Huwa yanafikirisha ukiachia mbali kuburudisha.

Yasinta Ngonyani said...

Kazi kweli kweli..kobe mngoni au mswidi sijawahi kusikia:-) halafu kwani kobe wanakimbia? sijui kama alijua anapigwa picha angejua nachani angegeuka hapo nia kubwa ilikuwa hiyo taswira ya jua ....

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yasinta umenichekesha kushangaa kwako. Hata hivyo, ndiyo hivyo. Nimefurahi kuwa umeshangaa na kucheka. Kicheko dawa ati.

Unknown said...

Hawa ni wale turtles...wana historia kumi na tano na nusu na zenye kushangaza sana.

Kiswahili chake sijui ni nini lakini sio tortoise.

Kuna taasisi hapa Tanzania inashughulika na uhifadhi wao maana maskini ya Mungu kama kawaida yetu wala hatukuwa na habari kivile juu ya uhaba (rarity) wao na tunajua kilicho rare thamani yake inakuwaje ( najitia bingwa wa supply and demand theorem, ha ha ).
Ukipitia hapa utajifunza mengi.

www.seasense.org

KIPAPLI