Monday, October 26, 2015

ZILIPENDWA....MDADA AKIWA MATETEREKA HUKO MADABA

Nimekumbuka hapo zamani za ujana wangu.....

5 comments:

Anonymous said...

Hongera kwa hatua uliyofikia ya uzee! hapo kama vile ulikuwa mtoto bado unasoma shule ya msingi halafu kwa sasa hivi mie ndio nakuona ni kijana, sasa sijui ni macho yangu au? Mungu azidi kukuweka katika ujana wako na usizeeke kabisa. Kila la heri.

Salehe Msanda said...

Hongera!
Kwa kuenzi zilipendwa.
Kila la kheri.

Yasinta Ngonyani said...

usiye na jina Ahsante sana....Ila mmmmhhh wala sikuwa mwanafunzi hata kazi nilishaanza hapo...

Kaka Salehe Ahsante sana kwa kupita hapa kwani ni siku nyingi sana

ray njau said...

Hakika kila zama na waja wake na waja wake ndiyo hawa.Hongera sana kwa mikono salama ya wazazi na walezi wako na sasa nawe ni mama wa familia.Salamu kwa wadau wa familia yako huko kusini nyanda za juu na ughaibuni pia.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka Ray! Nawe pia ubarikiwe sana kwa kutochoka kupita hapa na kuacha lako lililo moyoni.