Thursday, October 1, 2015

TUANZA MWEZI HUU WA KUMI NA PICHA HII....IWE PICHA YA MWEZI.....

Nimeipenda hii picha...inaonyesha upendo wa wazazi kwa watoto wao na pia pia jinsi ya kusaidiana kazi. Inapendeza kwa kweli....Au wewe msomaji unasemaje?...KILA LA KHERI!!

2 comments:

NN Mhango said...

Baba anaweajibika kweli kweli. Ni wachache wana ujuzi huu. Uzazi mwema ni kutobagua jinsia.

Nicky Mwangoka said...

Wazazi walio mfano wa kuigwa. Hongera baba mwema