Tuesday, October 6, 2015

UNAPOLIMA MASHAMBA NI LAZIMA KUYATYNZA/KUANGALIA

Hapa mdada anakagua baadhi ya mashamba na hapa ni shamba/bustani ya matunda hasa ni ndizi ndizo zinaonekana lakini kuna mananasi, mapera, maparachichi, machungwa, malimao nk.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera dada. We ni mkulima kweli kweli! By Salumu.

ray njau said...

Hongera sana mkulima wetu Yasii.