Wednesday, October 8, 2014

PALE UNAPOTAKA KUENEZA UTAMADUNI WAKO SI KAZI KUBWA...ANGALIA HAPA.....

ilikuwa kazi ndogo sana kuwasawishi ...Hawa ni ndio ninaoshida nao karibu kila siku katika mtindo wa kubeba maboxi. Nawatakieni wote JUMATANO NJEMA SANA. TUSISAHAU TULIKOTOKA:-) Kapulya.

2 comments:

NN Mhango said...

Naona uliwavisha wote. Inapendeza kushirikiana na wapiga box wenzako. Je hayo mavazi ni yao au waliazima kwako?

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo mwalimu...naliwaalika na nikapika chakula na nikawaomba wabadili mavazi..ni yangu hayo walipenda na kukubali