Saturday, October 25, 2014

JUMAMOSI NJEMA .....NA KIBURUDISHO KIDOGO/UGIMBI!!!

Jamani wale wapenzi wa komoni/mnyakaya karibuni baba anawakaribisha hapa. ..Mimi naomba tongwa jamani haya mataputapu siyawezi. HAYA TUSISAHAU POMBE SI MAJI NA KUMBUKA UTAKUWA BARABARANI BASI USINYWE. :-)

3 comments:

NN Mhango said...

Huyu bwana kwa kupiga funda anaonekana si mchezo. Kweli furaha ipo kila mahali. Picha nzuri sana yenye mafunzo mia kidogo.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango ni kweli kabisa kuna mafunzo mengi sana katika picha hii..pia anaonekana si mchoyo!

NN Mhango said...

Ila shavu lake dada, usipime!