Monday, October 6, 2014

TUANZA WIKI NA PICHA HII:-MAPENDO!

Kuna wakati mtu ukipenda hakuna awezaye kusema kitu ..maana kupenda ni kupenda. Nawatakieni wote jumatatu njema.

4 comments:

Ester Ulaya said...

kweli mapendo daima dada

Ester Ulaya said...

kweli mapendo daima dada

Yasinta Ngonyani said...

Mama A..yaani haswa mtu akipenda anapenda...kipenda roho hula nyama mbichi

ray njau said...

Mh;ni mapendo kweli(A house is made of bricks and stones but home is made of LOVE alone.Congrat)