Tuesday, October 14, 2014

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA MWAKA!!!

Haki ya nane hii ni kibako ..nimewahi kusikia kuwa wanawake wanaweza kufanya shughuli zaidi ya moja kwa wakati mmoja....lakini hii kaaaazi kwelikweli. Sasa hapo sijui atapindaje kona?

5 comments:

Markus Mpangala said...

Loh hii ni changamoto sana kwa kweli. Ni changamoto mno maana imetokea Dar es salaam. Lakini mara nyingi tulizoea kuyaona kule kwetu.

Anonymous said...

Wanawake wakiwezeshwa, wanaweza! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Markus...karibu tena. Ni kweli kule kwetu ni kawaida ila huyu kqenye bsiskeli mweee....

Kaka Salumu ...umenena ahsante!

NN Mhango said...

Huyu mama kweli kiboko.

Kiu ya Haki said...

Hakika maisha yamemfanya mama jasiri aibu na woga kaviacha nyumbani hapo bado akapambane na askari wa jiji nk