Nimetumiwa ujumbe huu lakini kwa bahati mbaya hivi vitandawili kwangu vimekuwa vigumu kidogo kwa hiyo naomba ndugu zangu tusaidiane maana palipona wengi hapaharibiki kitu..Natunguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Na ujumbe wenyewe unasema hivi:- karibuni!!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dada Yasinta, habari za leo? Samahani naomba msaada wako kwa vitendawili vifuatavyo:
1) Wanastarehe darini.
2) Sina dada wala kaka, lakini baba wa huyu jamaa ni mtoto wa baba yangu.
3) Nguo ivaliwayo kila siku isiyoingiwa na chawa.
4) Ini la ng'ombe huliwa hata na walio mbali.
5) Chatembea na hakijapata kupumzika hata nukta moja.
6) Mvua kidogo ng'ombe kaoga kichwa.
7) Njoo hapa nije hapo.
8) Msitu ambao haulii hondohondo.
9) Aliwa, yuala, ala, aliwa.
10) Ajenga ingawa hana mikono.
JUMATATU IWE NJEMA KWA WOTE!
380 comments:
1 – 200 of 380 Newer› Newest»Da Yasinta. Shikamoo!
Haya hapa majibu.
1. Panya
2. Mtoto wangu
3. Nyusi
4. Kifo
5. Jua
6. Jiwe
7. Kiraka
8. Mimba
9. Papa
10. Ndege
By Salumu.
Kaka Salumu ahsante sana kwa mchango wako..Hapi kwenye namba tano mimi nilikuwa na jibu ...Saa
Sasa da Yasinta usemapo saa, ni saa ipi? Ya kujaza na ufunguo au ya betri na hizo zote zinaweza kuharibika. Ki sayansi hata jua halitembei! Labda tuseme ardhi (dunia) ndio inazunguka jua na mwezi inazunguka dunia. Maajabu ya Mwenyezi Mungu haya! By Salumu.
Pamoja na kuwa kipanga shuleni sikuyajua haya madude. Hivyo msaada wangu hapa ni kidogo au tuseme hakuna. Hata hivyo nashukuru nimepata mawili matatu na kuelimika.
Nakushukuru kwa kutuelimisha dada. Naomba msaada wa vitendawili hivi. ..1)Kiti nyikani,2) Kazi ni pantosha, 3) Kwetu tunalala tumesimama,4) Mama yupo chini ya wanawe wananing'iniquity darini, 5) Msichana wangu mrembo lakini havutiki,6)Ninakupa lakini mbona huachi kunidai, 7) Nakunywa mchuzi na nyama natupa nyama , 8) Ndege wengi baharini, 9) Teremka mlina kwa urahisi, 10) Tamu ya chumvi
Nakushukuru kwa kutuelimisha dada. Naomba msaada wa vitendawili hivi. ..1)Kiti nyikani,2) Kazi ni pantosha, 3) Kwetu tunalala tumesimama,4) Mama yupo chini ya wanawe wananing'iniquity darini, 5) Msichana wangu mrembo lakini havutiki,6)Ninakupa lakini mbona huachi kunidai, 7) Nakunywa mchuzi na nyama natupa nyama , 8) Ndege wengi baharini, 9) Teremka mlina kwa urahisi, 10) Tamu ya chumvi
Yaan vitendawili ni vigumu sana,,kuna swali hapa kwamba kutokana na mabadiko ya sayansi na teknolojia vitendawili havina maana jadili kwa kutumia vitendawili sita.
Kiatu kisichoisha. .......?
Tafadhali niambie jibu LA kitendawili hiki/- juma kalala na ndevu kaziacha nje
2. Ngozi ya babu chui inapedwa sana
Mimi pia naomba unisaidie na jibu la kitendawili iki agnes maridadi.
ningependa msaada katika kujibu kitendawili kifuatacho.
wanatembelea lakini hawatembelewi
Tafadhali unisaidie kitendawili hiki, watoto wa binadamu wa.......
Naomba majibu ya vitendawili hivi;
1.Hana adabu wala stash
2.Hausimiki hausimami
3.Ajenga ingawa hana mikono
4.Kila nikitembea nasikia wifi wifi
5.Fuu funua fuu funika
Msaada wa maana ya vitendawili.
1.Ukumbuu wa babu ni mrefu
2.Nichangu lakini sikitumii
Kitendawili-kila akija kwetu hutanguliza na kelele
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki
Nyanya apepeta ufuta
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki
Nyanya apepeta ufuta
Bara bara
Jina
1Babu kafa kaniachia Pete
2Jinamizi laniiita lakini silioni
Naomba mnisaidie vitendawili hivyo.
Kitendawili 1. watoto wa tajiri wanakula na kutembea uchi
2. Babu kaanguka na makoti yake. Msaada
Msaada rafiki jibu la kitendawili "nina kitanda changu cha mkangashale mwana wa halali aende akalale........
Babu kafa kaniachia pete
Ndipo pako kwangu hamna nafasi
Mr nitegee kitendawiki chenye jibu hili (kitambi)
Alafu nitegulie hiki
Ni adui yangu lakini natembea nae kila siku.
Nilianika mtama Jana usiku lakini nilipoamka sikupata
Agnes maridadi
taksi mbugani nini jibu la kitendawili hiki?
Mbona vitendawili vinavyoulizwa na wadau havina majibu?
Naomba jibu la
1 Mama anamiguu mtoto hana.
2 masikini huyu ataumpe nini hariziki.
Jamani naombeni mnitegulie kitendawili cha bibi harusi ameinama
1.utelezi
2.mkufu
3.ndege
4.mbaazi kavu
5.nyayo
Naomba majibu kwa vitendawili vifwatavyo;-
1. Agness Maridadi
2. Mlima unaotembea
1.Jongoo
2.Mwangwi
Alizeti
Chiriku alimwambia mwanawe, nikiinama nikiinuka no mauti yetu
Wakuu salama?
Naomba msaada wa vitendawili vyenye majibu yafuatayo
1. Kikombe
2. Kinyonga
3. Ulimi
4. Jani
5. Kisogo
Natanguliza shukrani wadau
Nini maana ya nikiinama nikiinuka ni mauti yetu
Chukua ungo wewe na mimi tupepete kisichopepeteka
Fufunua fufunika
Kisogo
Kisogo
Kobe
Unyayo
Naombeni msaada wa kitendawili hiki: Asha mzuri lakini matata
1. Boga (pumpkin)
Nyota
Naomba kujua maana ya kitendawili hiki mazishi yake ni furaha kwetu
Msaada jmn nacheza ngoma wapigaji wake wapo ughaibuni
Naomba msaada wa cjajibu ya ,gari moshi relini ,mazishi take nifuraha kwa watu,nacheza ngoma lakini wapigaji wake wako ughaibuni.
Msaada kutendawili nacheza ngoma kwa nguvu wapigaji wapo ughaibuni
5. Kutembea
Bahari
Nini maana ya kitendawili nikikutana na adui yangu nanyong'onyea
Hiyo ndugu yangu ngumu kumesaa
Naomba msaada wa kitendawili na panda Mti na kichaa wangu
7. Kula mua
Nyayo
1.kuku na yai
2 tumbo
1mzungu katoka ulaya na mkono kiunoni
2. Tajiri wa Rangi./ huuawa na uzazi wake
4. Nikienda kwa mjomba sirud
Ugonjwa
Ugonjwa
Ugonjwa
Mziki redioni
Mziki redioni
Mziki redioni
Ugonjwa
Naomba majibu ya vitandawili ivi. 1mjumbe alileta ujumbe nikajua habari aliisoma. 2kiangazi chote ulala yakija masika ukesha. 3hana mkono. 4nyundo zangu zimetengenezwa kwa mifupa
Ana ndevu,lakini kaka yake hana:sio mbuzi kweli?
Ninii maana ya kitendawilii hiki gari moshi relini
Bibi harusi kain am a?
Naombeni jibu ya Nina kitanda changu Cha mkangashale means halali aende akalale
Mwana
Naomba maana ya kitendawili kushika tama
Samahani ninaomba kuuliza majibu ya vitendawili vifuatavyo:
1) Mnadhani naenda kumbe siendi
2) Hutembelea lakini hatembelewi
3) Napanda mti na kichaa wangu
Nini maana ya kitendawili Napanda mti na kichaa wangu
Naomba jibu la kitandawili:napanda mti na kichaa wangu
Msaada wa kitendawili
1)watoto watajiri wa nguo hulala na kutembea uchi
2)zulia la mungu
Naomba msaada wa kitendawili hiki "Teksi mbugani"
Naombeni jibu LA ..nyundo zangu zimetengenezwa kwa mfupa
Naombeni jibu LA ..nyundo zangu zimetengenezwa kwa mfupa
Naomba msaada wa kuteguliwa kitendawili hiki"nina kitanda changu mkangashale mwana halali aende akalale".
Maomba jibu la kitendawili "nina kitanda changu cha mkangashale mwana wa halali aende akalale.
Maana ya kitendawili anajenga ingawa Hana mikono
Ndege
Chawa
Naomba niulize swali
Watoto wa mjomba wakiondoka hawarudi
Naomba majibu ya vitendawili hizi
Zulia la mungu
Mjomba hataki tuonane
Hhuawa na uzazi wake
Mama hachoki kunibeba
Kisima changu hakikauki na maji
Wana wa mfalme hulala na kutembea uchi
Naomba jibu la kitendawili
Kila mtu humwabudu apitao
Naomba msaada wa hivi vitendawili
1. Apitapo huacha alama
2.Inama nikuambie
Chukua ungo wewe na mimi tupepete kisicho pepeteka
Naomba msaada
Naomba jibu la kitendawili hiki, Hesabu yake haina faida kwetu
Mlango
Naomb jibu Babu kaanguka na makotikoti yake
Teksi mbugani jibu lake nin!?
Msaada..Nina kitanda changu Cha mkangashele mwana wa halali aende akalale
Naomba msaada kuhusu kitendawili hili: hesabu yake haina faida
Asante
Nywele
Boga
Jani
5. Kutembea
Jogoo
No 1. Boga No 2. Ardhi
Nisaidie kitendawili Nina kitanda changu cha mkangashele mwana wa halali aende akalale
Msaada jaman...Nina kiatanda changu cha mkanga shale mwana wa halali aende akalale
5. Ninatembea naye lakini simuoni
naomba mnitegulie hiki kitendawil; mazishi yake ni furaha kwetu
Nywele
Nywele
Kitanda
Kisogo
Kinyonga
Mbegu z mazao
Siafu
Kitendawili-nacheza ngoma lakini wapigaji wapo ugaibuni.
Naomba msaada juu ya hichi kitendawili:nacheza ngoma lakini wapigaji wapo ugaibuni.
Gari moshi relini maana yake ni nini??????
Zipu
Msaada wa hivi vitendawili
1. Analala ananing'inia
2. Mlima huu hupandwa kwa mkono
Naomba maana ya kitendawili kifa kifanana
Natamani kupata jibu LA hiki kitendawili jamani
Naomba maana ya kitemdawili zulia la mungu
Naomba maana ya kitendawili zulia la mungu
Naomba msaada wa majibu ya vitendawili vifuatavyo
1.Anachinjwa kwa kisu lakini hafi?
2.Aendapo juu lazima harudi?
3.Akiiba yeye Mimi nashiba?
4.Atembeapo huringa hata kama yupo hatarini?
5.Akienda kwa mjomba harudi ?
6.Amchukuapo hamrudishi?
7.Akiwa mchanga ni mpole akizeeka anakisasi?
Bibi harusi kainama??
Kinywa..
Mbuzi na ng'ombe
Mbuzi na ng'ombe
Ndege
Alizeti
Naomba msaada wa kitendawil akiwabeba watoto wake Hawezi kuwashusha
Jibu siyo saa Wala jua,jibu moyo
Dada Yasinta naomba unitegulie Kitendawili kifiatacho:
1. Piki piki msituni?
Radio
Namba msaada wa kitendawili hiki kigoda Cha msituni?
Habari za asubuhi
Naomba msaada wa kitendawili hiki'' daima damu yangu hunyonywa na kuuzwa lakini bado nipo imara''
Asanteni.
Nitegee kitendawili chenye jibu shule
Zao la mpira
1 Ajihami bila silaha
2 Bibi hachoki kunibeba
Nguo ya Babu ina viraka kila mahali maana yake
Naomba jibu la kitendawili hiki
Kila mtu humwambia apitapo
Kipepeo
Bahari
Ardhi
Redio
Mlango
Naomba jibu la kitendawili hivi
1.Kiangazi chote kulala usingizi
2.Nilimchinja mwanangu ng'ombe hii, wakala nyama wakapanda mkia ukaota ukawa ng'ombe tena
Nyanya apepeta mpunga.naomba jibu.
Jibu lake nini wadau?
Msaada gari moshi relini
Ganda la mua haliishi utamu
Kope
Zipu
Bahari
2. Mgomba
Naombeni vitendawili vitano na maana zake
Kitendawili:Anachonjwa kwa kisu likini hafi_
Naomba msaada wa kitendawili ambacho jibu lake ni KITAMBI
Msaada wa kitendawili jibu moyo kongine meno na ulimi
Naomba majibu ya vitendawili
Kombe la mungu li wazi
Zulia la Mungu
Watoto wa binadamu wakiondoka hawarudiý
Naomba jibu ya kitendawili chungu cha mwitu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
Hapo unaweza ukakataa au ukakubali. Ukikataa ndo unakuwa na uwezo mkubwa wa kujieleza kwa kutumia dhima au umuhimu wa vitendawili kwa Sasa huku ukiambatanisha mifano
Macho
Kisima
Ardhi
Jani la mti
Kope
Mbegu za mmea
1: barua
2.vyura
3
4.meno
Meno
Naomben jibu gali moshi lelin
Chungu cha mwitu hakiwapiki wapishi wake kika iva
Chungu Cha mwitu hakiwapiki wapishi wake wakaiva jibu ni mzinga wa nyuki.
Samahani jamani Nina misemo hii
Naomba majibu
1. Chungu cha mtu hakiwapiki wapishi wake wakaiva
2. Kwa mfalme hawa wanaingia hawa wanatoka
3.nacheza Ngoma wapigaji wake wapo ughaibuni
Naombeni anayejua anisaidie
Nisaidieni kutegue kitendawili kipo hiv i gari moshi relini jibu lake ni nini
Garimoshi relini ni zipu
Nisaidie jibu la hiki kitendawili nina mtoto nkimpa chakula analia nikimnyima halii
Nisaidieni maana ya kitendawili nyumba yangu imeungua mwamba wake umebaki
Naomba msaada wa kitendawili: Hufa na kufufuka
Naomba msaada
Kitendawili jibu lake ni KITAMBI
Naomba maana ya kitendawili
1. Cheupe kimetoa manjano
2. Aziza azizi mara nazi mara ndizi
Kivuli
Ni nahau maana take sikitika
Samahani naomba vitendawili vya majibu haya
1.kujikwaa
2.fingisi
3.njia
4.kuota moto
Rafiki yangu mharibifu lakini namhitaji naomba jibu la hiki kitendawili
Naomba jibu la kitendawili kwa mfalme Hawa wanatoka na Hawa wanaingia
L
Kichwani mmmh miguun mmmh naomba jibu la kitendawili icho
Muwa
Zipu
Moto
Nikweli jibu hili
Kivuli
Kipepei
Kivuli
Jibu la ,Jana nilitaka kupigwa , nikamwaga tango nikakwmbia
1. Mhindi
Naombeni mnisaidie kitendawili kisemacho maji yakimwagika hayazoleki/hayanyweki
Nisaidie jibu.mama anapepeta mpunga
Post a Comment