Sunday, November 18, 2012

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE MTAKAOPITA HAPA!!!


Hakuna binadamu aliyekamilika. NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA .

5 comments:

Steven Bulamu said...

NAWATAKIENNI IJUMAPILI NJEMA NYOTE WAPENDANAO TAFAKALINI TUNA TOKA WAPI NA TUNAKWENDA WAPI!, UKIJUA HILO HAKIKA UTAFANIKIWA

Yasinta Ngonyani said...

Steven nawe uwe na jumapili njema sana. Ahsante kwa tafakari...

Rachel Siwa said...

J'Pili njema nanyi pia na woote!!MUNGU awalinde na kuwabariki..

simbadeo.wordpress.com said...

Ni kweli hakuna aliye mkamilifu. Tumeumbwa tu kwa sura na mfano wa Mungu aliye mkamilifu na ukamilifu wenyewe ... lakini kamwe sisi hatuwezi kuwa kama yeye. Ila ametujalia akili, utashi, uhuru na uwezo wa kutambua jema na baya. Tukiyajua haya, tutawapokea wenzetu kwa vile walivyo na kujazia upungufu wao kama vile wao wanavyotumia uzuri walio nao kujazia upungufu wetu. Ni kwa mabadilishano haya tu ndiyo tunaukaribia ule ukamilifu. Pamoja sana!

ray njau said...

Asante na salamu za wikiendi kwa wadau wote wa kibarazani.