Friday, June 3, 2011

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KWAKO ERIK !!!/Grattis på Födelsedagen Erik!!!

Hapa nilitaka kupiga mpira kwa kichwa....
...na hapa najaribu kumtia chenga huyu adui yangu..


Leo ni siku /tarehe ambayo kijana huyu alianza maisha yake. Yaani alizaliwa ni miaka kumi na moja iliyopita tarehe 3/6/2000 alizaliwa kijana Erik. Na leo anatimiza miaka 11. Kama mumuonavyo Erik anapenda sana mpira wa miguu, floorball /innebandy. Pia mziki pia. HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA ERIK NA UWE NA SIKU NZURI. PIA KILA LA KHERI KATIKA MASOMO YAKO, NA KATIKA MAISHA YAKO.!!!!!!!

21 comments:

John Mwaipopo said...

nilitaka kusema HONGERA LITTLE MAN ERIC KWA KUCHANA KALENDA YA 11 kwa ki-SWIDI lakini nimeshindwa. Uendelee kukua katika maadili mema hususan katika shule, football na music.

ila nina wasiwasi na kutaka kuupiga mpira kichwa katika picha ya juu. ha! ha! ha!

camilla said...

hongera, kaka :)

Simon Kitururu said...

Hongera Erik!

Raymond Mkandawile said...

Happy birthday bwana mdogo Erick na kila kheri ktk safari yako ya mafanikio hasa kwenye hizo fani uzipendazo.....

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Hongera Erik!

EDNA said...

Hongera sana Eric.

Unknown said...

Hongera Erik,

MARKUS MPANGALA said...

Katika siku ile ya kujipongeza kuchana kalenda kuna umuhimu ya kwuashukuru wakufanyao uchane kalenda.

Mimi sikupongezi tu kwa KUCHANA KALENDA lakini kuna kitu umenikuna sana, nila nikikuangalia nakufanananisha na yule mtoto wa Zidane aitwaye Enzo. lakini kwa hakika unaonesha soka ni tamu kwako kama huyu mwandika maoni haya anavyohususudu kandanda, mweeeeeeeee

Kumbe Erik ni Maestro wa soka. Nashukuru kupata wazazi wanaotambua vipaji vyako tangu ile staili ya kuogelea hadi Fiddle au vipi mjomba mkubwa wangu.

Nakuzimia na kufyagilia fyagilia fyagilia fyagiliaaaa pyaaaaaaaaa

chib said...

Hongera sana!

isaackin said...

sijacheelewa kumpa salamu mjomba
"GRATTIS ERICK"

namuona zlatan wetu wa baadae

De Mooie Natuur said...

Maisha mazuri ya jioni, na salamu kutoka Ubelgiji na Guido
Natuurmanjak.Je unaweza kutafsiri hali yangu ya blog kwa Kiswahili, haina
juu kushoto ya tafsiri yako! nice salamu Guido natuurmanjak ... ...
http://natuurmanjak.skynetblogs.be

Unknown said...

Mkono wa kheri kwako

Ebou's said...

Hongera sana Eric na kutakia kila la kheri uwe mtoto mtifu mwenye kupenda wazazi wako na kufata maadili ya kinyumbani. Kitu kikubwa na cha msingi Muombe sana M/Mungu wako na mambo yote yatanyoka. unapokwenda, unapoanza kucheza soccer kulla na kulala, usisaha kusukuru kwani shukurani ni moja ya ustarabu na chanzo cha upendo kwa jamii. HAPPY BIRTHDAY HOME BOY.

Goodman Manyanya Phiri said...

Grattis på födelsedagen, Erik! (Detta är från Uncle Manyanya i Pretoria, Sydafrika)

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera sana Erik!

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Erick kwa kufikisha 11, Mungu azidi kuwa nawe mwanetu.

mumyhery said...

Hongera sana Erik kila la heri shuleni, furaha na afya tele

Rachel Siwa said...

Hongera ya kuongeza mwaka kaka Erik!Mungu akubariki sana uwe mwema kwa wazazi na jamii pia!.

Penina Simon said...

Happy birthday Erick

mumyhery said...

Happy Birthday Erik, kila la heri baby boy

cytotec said...

obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing obat telat bulan