Thursday, September 18, 2008

YASINTA NA WAFANYAKAZI WENZAKE

Hapo juu ni kundi la wafanyakazi wenzangu

Mimi tena, napenda sana chai bila sukari (chingambu)

6 comments:

Kibunango said...

Mmh...! Chai bila sukari, kamwe siwezi!

Yasinta Ngonyani said...

basi mimi na ndo naibugia kweli si umeona hicho kikombe kilivyo kikubwa kama pipa. Kama hivyo vinne hivi hapa siku itaenda vizuri, anayejisikia kunywa chingambu karibu sana

Anonymous said...

Hiyo chai inawekwa viungo gani mpaka unywe bila sukari? hata mie siwezi!

Yasinta Ngonyani said...

bila kiungo chochote kile rafiki yangu hivyo hivyo. karibu ujaribu

Anonymous said...

asante! nitajaribu siku moja

Yasinta Ngonyani said...

utaipenda na hutaweza kuacha milele