Friday, September 12, 2008

HARUSI YA BONIFACE MWAITEGE


Mungu amemsikiliza sala zake za kupata mke mwema. Hapa ni Bony Mwaitege na Kipenzi chakeBi Subiraga. Naona sasa majukumu yatapungua maana sasa umepata mke mtasaidiana. Maana sasa umekamilika. Hongera sana kaka Boniface

12 comments:

markus mpangala said...

mbona silewi maana ya ndoa? je hayo ni mapenzi ya mungu, lakini kwanini alitaka watu waoe? je kusihi bila ndoa ni dhambi hasa kama hutaki kuwa na ndoa yenyewe? je sisi kwa waumini wa dini za kijadi hatulazimishwi kuoa.
nini maana ya ndoa?

Yasinta Ngonyani said...

Mimi naamini ni kwamba watu wawili wapendanao hii ndio maana ya ndoa. Lakini inawezekana ikawa si hivyo

josephine peter said...

hongera umempata wa kufanana nawe msaidizi wako

josephine peter said...

wimbo wako wa njoo ufanyiwe maombi unanibariki sana hongera kwa kutunga nyimbo zinazo bariki watu kweli bila maombi huwezi kupona maana tabibu mkuu ni Yesu

Douglus said...

nikweli mungu amekupa mke mwema nawatakia maisha mema,mtoto ameumbika kweli.

Hackett said...

Kweli waliomtegemea mungu maisha yao hukamilika . Mungu awe nanyi kama familia , tafadhali ningetaka kujua hali ilivyo kwa sasa . Kunayo tofauti tangu uoe? Mungu awalinde . Amina .

Hackett said...

Kweli waliomtegemea mungu maisha yao hukamilika . Mungu awe nanyi kama familia , tafadhali ningetaka kujua hali ilivyo kwa sasa . Kunayo tofauti tangu uoe? Mungu awalinde . Amina .

Hackett said...

Kwangu mie hupenda sana kusikiza nyimbo zambo kama vile mke mwema , njoo ufanyiwe maombi . Hizi nyimbo hunipa mootisha kuwa mungu atafanya muujiza nikaweze pia kupata jiko . Mungu apewe sifa . Uliwezaje kupata mke akufaaye ? .

Anonymous said...

Yasinta wewe ni mngoni na nasikia ninyi huwa mna unyago; mnafundishwa mengi ikiwemo na jinsi kutumia shanga ktk mapenzi, kurefusha kinembe nk. Naomba tupe wenzako ujuzi huo ili tuboreshe ndoa zetu.

Anonymous said...

Hongera bonny. Mungu wetu awalinde daima

Anonymous said...

Hongera mtumishi wa Mungu

Esther Gloria said...

Mungu awa bariki kwa Jina la Yesu