
Hili ni kanisa langu ambalo wakati naishi Songea (mahenge) nilikuwa kila jumapili nakwenda kumshukuru mungu hapa. Ni Kanisa la Matogoro.

Na hapa ni kanisa ambalo nilipata Kipaimara wakati naishi ubenani. Ni kanisa la Maweso. Jumapili njema tena kwa wote.
3 comments:
nami nimepita kukutakia jpili njema.
kila la kheri siku iwe nzuri kwako na familia yako
Kheee heee kheee Kumbe Ndaki upo... Haya!
Nakumbuka kidogo kuhusu Matogoro.. ipo milimani hivi,.. na kuna chuo cha ualimu...
sawa kabisa kaka Kibunango hujakosea. kumbukumbu nzuri
Post a Comment