Saturday, September 27, 2008

LITUHI+MANDA+KUMBUKUMBU

Leo nimmewapelekeni mpaka Lituhi wengi labda mmefika
Hili ni basi ambali linasafiri kila siku Songea -Lituhi
Hapa ni kijijini Lituhi gengeni

Ramani ya Ngelenge na hapo juu unaona ni manda halafu unaona ziwa nyasa hapo


Hii ni Sehemu ya kupack baiskeli hapa Manda



Ni kawaida tu kubeba vitu kichwani




Lakini angalia hapa kazi ipo wataweza hawa kweli?



2 comments:

Fita Lutonja said...

LovIS4SICk
Kwakweli siamini kama kweli ni hakika haWA WATU WANAFANYA KAZI HIYO YA KUUZA NDIZI NA KUCHOTA MAJI KAMA HIVY!!!!!! DADA YANGU YASINTA KWA SABABU WEWE UKO HUKO NEBU NITAHABARISHE VIZURI DADA YANGU

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo Fita hao nia yao ni kujifunza kubeba vitu kichwani lakini kutokana na nywele zo zinateleza huwa inakuwa kazi kweli ndio maana hapo wameshikilia kweli.