Tuesday, September 23, 2008

MAISHA YA KIFALME

Leo nimeona tuangalia kidogo Sweden, nadhani wengi mnajua ya kwamba Sweden sio nchi ya Kijamhuri ni nchi ya mfumo wa ufalme (monarch)
Hapa ni mfalme wa Sweden Carl Gustav
Mkewe Malkia Silvia yeye asili yake ni Mjerumani




Hapa ni binti mfalme,Victoria ambaye hapo baadaye ndiye atayeongoza nchi (atakapokufa babake mfalme).




Mwana wa mfame Carl Philip




Binti mfalme mdogo Madeleine





Na hapa ni familia nzima ya kifalme






4 comments:

Anonymous said...

kwanini serikali za kibepari zinashauri serikali za afrika kuwa na uongozi wa kidemokrasia/kisiasa na kuacha mambo ya tawala za kifalme? mbona wenyewe wanafanya kama hivi,mmm watawala wetu wamepotea njia/waafrika

Anonymous said...

Enter your comment..maisha ya kifalme ni maisha mazuri,ni vyema Na nchi nyingine kuiga mfano.

yanmaneee said...

golden goose
vans
golden goose sneakers
goyard
longchamp bags
nike shox
air jordan
supreme new york
nike air max 95
yeezy boost

Anonymous said...

why not try here great post to read This Site replica dolabuy visit pop over to this site