Sunday, July 20, 2008

JULAI 20, 2008 KUMBIKUMBI


Leo nimefurahi sana kula chakula hiki yaani siku hizi naweza kula kila chakula

3 comments:

mwl. Klayson said...

Sio wadudu tu?

Anonymous said...

We acha kutufedhehesha hapa wadudu maana yake nini?Uliza tukusaidie kwanini unakejeli mbona zetu wanyasa?Ni hivi hawa ni kumbikumbi ambao ulaji wake umeshamiri sana Nyasa na makabila meingine hakika ni watamu sana siyo wadudu kama unavyodhani sawa,umeelewa mkubwa wangu?

Anonymous said...

nimegundua kumbe wengi hawataki kuuliza bali wanatoa majibu,nakwambia ungekuwa karibu ningekwambia uombe radhi!sawa mkubwa wangu lakini usijali sana huu ni utamu sana siyo wadudu kama sisimizi