Wednesday, February 13, 2019

UJUMBE WA LEO- TOFAUTI BAINA YA SHULE NA MAISHA.....

Shuleni unajifunza somo/masomo na baadaye unapata mtihani. LAKINI- Katika maisha , kuna mitihani ambayo tunajifunza masomo.
PANAPO MAJALIWA , Kapulya wenu!

2 comments:

Samwel protus said...

Mfano wa masomo ni yapi yatokanayo na mitihani kwenye maisha?

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Samwel kwanza karibu sana hapa kibarazani Maisha na Mafanikio;- mitihani katika maisha ni mingi sana kwa mfano kutaka kufanikiwa bila kuumiza kichwa na pia ipo mingine mingi sana sana....