Kuna wengi watakumbuka hii kazi ya kutwanga sio hapo zamani tu hadi sasa hasa vijijini bado wana enzi utamaduni huu. Lakini jamii ya sasa sijui kama kuna anayejua kinu na mwichi ni nini...najivunia kuwa mmoja ninayeuenzi utamaduni huu pia hata kizazi changu. NAWATAKIENI MWEZI MPYA HUU UWE MWEMA.
No comments:
Post a Comment