Vazi la kitamaduni/asili nchini KENYA NA NIGERIA
Vazi la kitamaduni/asili nchi UGANDA
Vazi la kitamaduni/asili nchini AFRIKA YA KUSINI/KWA ZULU
Vazi la harusi la kitamaduni/asili Nchini IVORY COAST
Vazi la kitamaduni/asili Nchini GHANA
Vazi la harusi la kitamaduni/asili Na hapa ni nchini CONGO
SWALI:- Je? TANZANIA KAMA NCHI HATUNA VAZI LA KITAMADUNI KWENYE HARUSI?
4 comments:
Kwa ncho kama yetu hii ambayo UZALENDO ni adimu, sizani kama tunaweza kuwa na vazi la asili la kitaifa. Sisi aslimia kubwa ni kuiga, hasa mavazi ya kigeni, nachelea kusema kuwa utamaduni wetu wa asili kwa asilimia kubwa umeshazikwa zamani. Hata Wamasai sasa wanaanza kubadilika...!
Duh ! kwa hili ulilolisema ni kweli kwamba twapenda sana kuiga na hasa yale ya kigeni na cha ajabu wao wageni hupenda sana vyetu vya asili. Nasikitika sana kusikia kama kweli wamasaa nao wanaanza kubadilika...
hivi nakumbuka kulikuwa na hili la kutafuta vazi la taifa la Tanzania sijui umeishia wapi? kama ungepewa nafasi ya kuchagua vazi la taifa ungechagua lipi?
Duh! Ni mtihani alo...ngoja nifikirie
Post a Comment