Monday, April 30, 2018

NI MLO GANI WEWE UNGEPENDA KULA SIKU YA LEO?....

 Ndizi, nyama, na mbogamboga au
Ugali wa muhogo  nyama ya kuku na dagaa nyasa. haya karibu kuchagua.....

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

ugali wa muhogo dada wa mimi

Yasinta Ngonyani said...

eehh Kachiki wangu au hupendi?