Monday, April 16, 2018

JUMATATU HII TUANZENA PICHA HII...ULANZI

Hii ni picha ya wiki sijawahi kuona unywaji huu wa ulanzi moja kwa moja kwenye mbeta. Duh! kaaazi kwelikweli..JUMATATU NJEMA NDUGU ZANGU PAMOJA DAIMA. PANAPO MAJALIWA.


6 comments:

Rachel Siwa said...

hahahhahaha....
huwa unakunywa Ulanzi Kadala?

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa hata sijui radha yake ww je?

Rachel Siwa said...

hata mimi sijawahi kuywa...

Yasinta Ngonyani said...

Wacha ww ka hichiki na kadala hawajawahi onja labda Kadoda wetu

ray njau said...

Uchagani kinywaji cha mbege ndiyo habari ya vijijini.Huu ni mchanganyiko wa juisi ya ndizi mbivu zilizochemshwa vema pamoja na uji wa ulezi.Mchanganyiko huu huhifadhiwa vema na baadae hupata alkoholi kupitia mchakato wa bakteria mahiri na weledi katika tasnia hii.
Ni kinywaji chenye heshima uchagani na unywaji wake unahitaji weledi kwa kuwa ziada katika unywaji ni mzoroto katika fikra,maamuzi na upotevu wa busara.

Yasinta Ngonyani said...

Nafurahi kusikia historia fupi ya Mbege ambayo ni pombe ya asili uchagani. Natumaini hata kizazi kijacho kitaendeleza....