Friday, March 9, 2018

PALE UPATAPO WASAA WA KUPUMZIKA BASI PUMZIKA KWANI NI MUHIMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU

Hapa yaonekana kuna kitu alikuwa akishangaa  au sijui hakuwa na njaa?
CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA KULIKO VYOTE HAPA DUNIANI NI SAMAKI
BAADA YA KAZI YA WIKI NZIMA SIO MBAYA KUJOPONGEZA KIDOGO. NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA WIKI HII NA IWE YA FURAHA NA AMANI ITAWALE KATIKA KAYA ZENU.

2 comments:

ray njau said...

Ni kweli!!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana sana kaka Ray na usichoke kupita tena na tena