Tuesday, August 8, 2017

UJUMBE TOKA KWA KAPULYA KUJA KWA YEYOTE ATAKAYEPITA HAPAKatika maisha :- Kitu kizuri ni pale unapojisikia /unapojua ya kwamba hapa  duniani mtu /watu ana/wana furaha kwa ajili yako wewe

2 comments:

Anonymous said...

NAMUTWAI, Nimekubaliana na usemi wako, kila mtu akifanya hivyo, akaweka nia hiyo, mbona duniani kutakuwa na raha

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ni kweli. ..ahsante