Friday, August 25, 2017

JAMANI MWENZENU BADO NIPO NYASA KWETU NAKULA SAMAKI CHAKULA NIKIPENDACHO KUPITA VYOTE:-)

Yaani ni kwenda tu ziwani na unapata samaki uwapendao...hapomie nimechagua leo MBUFU  ni huyo mkubwa na "sengefu" huku tunawaita hivyo hao samaki wa mbele ya baiskeli .....NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA.

2 comments:

NN Mhango said...

Ukirejea tufungashie lau nasi tufaidi kama siyo kufaidika. Wikendi njema na familia. Wasalimie pia wavuvi na samaki na wauzaji pia bila kusahau wapishi na walaji.

Yasinta Ngonyani said...

Usikonde kaka nishaamza kufungusha.
...utakuwa wa kwanza kupata:-)