Sunday, July 5, 2015

UNAKUMBUKA HII? :-) MAHINDI YA KUKAANGA

Mahindi ya kukaanga:- hapa sasa iwe hii siku kunanyesha mvua basi  ndo utaona utamu wa mahindi ya kukaanga kwa mtindo huu....JUMAPILI NJEMA WANDUGU.

6 comments:

Nicky Mwangoka said...

hapana chezea tena unakuta ni jioni uliyaloweka kidogo ukaweka chumvi, afu ndo unasubiri dinner

Yasinta Ngonyani said...

Duh kaka Nicky umenikumbusha hilo..

ray njau said...

Yalitulea na kututunza pia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray....Haswa na ukipata kikombe cha maji siku imeponywa

Ester Ulaya said...

leo naenda loweka nikaange....mate yamenijaa mdomoni ghafla

obat vimax said...

vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg