Monday, July 27, 2015

SAFARI YETU YA TANZANIA NA ZANZIBAR TULIPATA BAHATI YA KUNUNUA PICHA HIZI ZA TINGATINGA UTAMADUNI WETU:-)

 TWIGA HUYU
Na hapa ni aina ya wanyama wote walioko Afrika/Tanzania...WANAZIITA PICHA ZA TINGATINGA.....TAYARI ZIMEKWISHA BANDIKWA UKUTANI.

2 comments:

Salehe Msanda said...

Hongera
kwa kuenzi utamaduni wetu

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka Salehe...napenda sana vitu vya asili