Friday, July 17, 2015

SWALI/WAZO LA LEO!

Kama kungekuwepo na ndoto za kununua, je? Ni ndoto gani wewe ungenunua?

2 comments:

Penina Simon said...

Hekima!

Yasinta Ngonyani said...

Dada P! Hakika umechagua vizuri sana nadhani sikui kama nilifikiria hiyo ndoto. Maana HEKIMA ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Ahsante.