Sunday, June 28, 2015

HONGERA ..KIJANA WETU ERIK AMEPATA KIPAIMARA LEO

Hongera sana  kwa kumpokea Yesu leo babu Erik...

7 comments:

Ester Ulaya said...

HONGERA SANA KAKA ERICK......UZIDI KUKUA KIROHO

Yasinta Ngonyani said...

Mama Mdogo ahsante sana kwa maombi yako msalimie Alvin.

Mwanainjili said...

Hongera mwanangu Eric. Aunt Jenny

Yasinta Ngonyani said...

Aunt Jenny AHSANTE SANA.

NN Mhango said...

Tunamuombea aimarike zaidi ila asiache kuhoji baadhi ya mambo kwenye imani yake hasa ikizingatiwa kuwa amezaliwa kwenye ulimwengu wa fikra jadidi.
Kila la heri Erik.

Yasinta Ngonyani said...

Nimetumwa nijibu hapa kwa niaba..Mjomba wala usiwe na shaka..tuombeana tu uzima.

mumyhery said...


Hongera sana Erick