Wednesday, June 17, 2015

LINAONEKANA NI UA ZURI LAKINI NI HATARI SANA LINAWEZA KUUA MTOTO CHINI YA DAKIKA KUMI NA TANO

Kwa upendo jaribu kumpa taarifa ya ua hili  jirani, rafiki na ndugu zako ili wawe makini kwa ua hili. Basi ngoja mimi Kapulya niwatakieni siku njema  na tutaonana tena panapo majaliwa. Jumatano njema!!

2 comments:

Nicky Mwangoka said...

Asante kwa ujumbe na elimu hii muhimu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky nami nashukuru kama umeupokea ujumbe huu nawe waweza kuupeleka kwa wengine.Elimu kuelimishana.